بسم الله الرحمن الرحيم
(Imetafsiriwa)
Katika Makala yangu yaliyopita, niliandika kuwa, “nidhamu yote ya kimataifa imetambua kufeli kwake katika kupigana na kiumbe kidogo zaidi ardhini na kumuacha mwanadamu kukabili kifo chake huku akiwa katika hali ya vishindo. Hii ni japokuwa imethibitika kisayansi, kitabibu na Kiislamu, kuwa daima ipo tiba ya maradhi. Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema:
«لِكُلِّ دَاءٍ دَوَاءٌ فَإِذَا أُصِيبَ دَوَاءُ الدَّاءِ بَرَأَ بِإِذْنِ اللَّهِ عَزَّ وَجَلَّ»
“Kuna dawa kwa kila ugonjwa, na dawa sahihi inapo tumika kwa ugonjwa huponyesha kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.” (Muslim)
Hata hivyo, kwa sababu ya ufisadi wa mbinu za kisayansi na kitabibu zinazo tumika na taasisi za “afya” duniani ambazo zinadhibitiwa pekee na manufaa ya kimada, kumekuwa na hakutakuwa na dawa za tiba ambazo zitawaruhusu watu kupona bila ya mizengwe. Dawa zinazo tengenezwa na taasisi hizi kutibu maradhi, kwa mfano, dawa kwa maradhi ya kisukari au shinikizo la damu, ambazo matumizi yake husababisha athari za pembeni ambazo wakati mwengine huwa mbaya zaidi kuliko dalili za maradhi yenyewe, kiasi ambacho mgonjwa hulazimika kutumia fedha yake kununua dawa zaidi! Na hii kwa kweli inahifadhi upatikanaji wa “wateja” wa kudumu na wagonjwa hawashughulikiwi kwa ubinadamu, bali hushughulikiwa kwa “mashetani wa mateso”, “kimajazi”
Katika Makala haya, ningependa kutilia mkazo njia ya kimatibabu inayo fuatwa na madaktari hivi leo katika kushughulikia wagonjwa walio na maradhi, ambazo zimejengwa juu ya maslahi ya kimada, kuliko juu ya maslahi ya mgonjwa na kupunguza mateso yake.
Madaktari hulazimika kufuata kanuni za serikali na miongozo katika itifaki ya utabibu. Hivyo hivyo, serikali, wizara za afya na mashirika ya bima ya afya hulazimishwa na ushawishi wa wekezaji wa kirasilimali katika sekta ya afya. Kwa mfano, daktari hakimbilii vya kutosha kumuelekeza mgonjwa wa kisukari kuhusu mlo wa afya au lishe kamili, mbali ya madaktari kuwa na uelewa wa nafasi yake katika kutibu. Kila mmoja anajua kuwa Aina ya 2 ya kisukari inahusisha kiwango cha juu cha sukari katika damu. Maarifa ya kawaida yanaeleza kuwa kujiepusha na sukari na kupunguza vyakula vya wanga huweza kumfanya mgonjwa kudhibiti sukari katika damu na hivyo kongosho kuweza kupata nafuu tena. Mlo wenye kiwango kidogo cha wanga, usio na sukari unaoitwa lishe ya Ketogenic (Keto), vimethibitishwa kuwa ni vya mafanikio katika kutibu Aina ya 2 ya kisukari, bila kutaja dori thabiti ya viambato asili katika kusawazisha kiwango cha sukari katika damu, pamoja na dori ya bizari (manjano), majani ya zaituni na kitunguu thaumu kwa wagonjwa wa moyo. Japokuwa madaktari wanajua kuhusu uhakika huu, wanafanywa wasiyazingatie kuwa ni tegemeo kuu katika matibabu au hata kwa tafiti kwa ajili ya tiba. (https://www.youtube.com/watch?v=Eanu7OnUPx0)
Sekta ya afya imekuwa ni moja ya sekta zenye kuingiza faida kubwa duniani. Kampuni za dawa, kampuni za bima ya afya na hospitali ni miongoni mwa taasisi tajiri zaidi na uwekezaji katika sekta hii ni salama zaidi kuliko sekta nyengine nyingi. Watu matajiri zaidi katika jamii ni wawekezaji katika sekta hii, pamoja na madaktari. Na sifa jumla baina ya wafanya kazi na wawekezaji katika sekta hii ni tamaa, uchoyo wa kifedha na kupuuza maslahi ya wagonjwa, isipo kuwa kwa wale ambao Mwenyezi Mungu (swt) ana huruma juu yao nao ni wachache. Laa Hawla wa Laa Quwwata illa Billah. Badala wangepaswa kuwatibu wagonjwa kwa njia imara na kwa gharama nafuu!
Ili nisionekanane kukashifu sekta hii kwa njia isiyo na usawa, nitawasilisha mifano miwili, yote itahusiana na dawa mbili, zinazo tumika kutibu aina tofauti tofaut za maradhi, ambazo ni rahisi na ni wepesi kupatikana:
Kwanza: Chlorine dioxide https://en.m.wikipedia.org/wiki/Sodium_chlorite
Chlorine dioxide (C102) inatumika kama kitakasi, chenye kuuwa bakteria, fangasi, vimelea na virusi. Chlorine dioxide ni kemikali ya kuuwa viini vya maradhi na kuuwa bakteria ambayo hutumika sana kusafishia vifaa vya upasuaji kabla ya operesheni. Pia hutumika katika kutengeneza dawa, na yenye kuuwa bakteria katika kutengeneza na kufungasha vyakula na nyama. Huuwa vimelea vinavyosababisha maradhi ya kuambukiza.
Hii ni moja ya viongezeshi vya oxijini (oxidizing agents) katika michanganyiko ya viongezeshi (oxidize compounds) ndani na miongoni mwa kuta za seli, huuwa vijiumbe maradhi vinavyo sababisha magonjwa. Hiyo haiathiri afya ya kawaida ya seli kwa namna yoyote ya karibu, kwa kuwa havigawanyiki kwa haraka. Zaidi ya hayo, ina uwezo wa kuhimili uzidishaji wa oxijini zaidi ya vijiumbe maradhi. Na seli za kawaida za mwili zina tabia ya kuhifadhi, na pia tabia ya kurekebisha na kuotesha tena.
Ikiwa ni yenye kuyayuka, inanywewa katika maji, hubakia mwilini kwa muda mfupi, kutoka nusu saa hadi masaa mawili, kutegemea na dozi yake. Baada ya hapo, mwili huachana nayo na kuwa si yenye kufanya kazi. Kwa hivyo itumiwe mara nyingi kwa siku kwa kipindi maalum, katika hali ya maradhi yasiosikia dawa, kama baadhi ya aina za kansa.
Dawa hii yenye ukolevu (concentration) unao hitajika huuwa aina nyingi ya virusi, kama homa ya mafua na virusi vya Korona kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maradhi yatapona kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, ikiwa itatumiwa kabla ya kudhihirika dalili. Hata hivyo, kama itatumiwa baada ya kutokea dalili, mara nyingi mwili huhitaji muda kuweza kurudi katika hali yake kutokana na madhara yalioletwa na virusi, kabla haujaweza kulenga zaidi katika kuviondoa virusi.
Dawa hii lazima itayarishwe katika muda tu wa matumizi, kwani huwa ni gesi katika kiwango cha joto cha kawaida, ikiyayuka hupeperuka baada ya kutayarishwa, pia hupungua kiwango chake kutokana na muangaza. Kuwa kwake muongezaji wa oxijini (oxidizer), isitumiwe pamoja na au baada ya kutumika vipunguzaji vya madhara ya oxijini (antioxidants) kama vitamin C, kwani antioxidants inazimua utendaji kazi wake.
Chlorine dioxide hutengenezwa kutokana na sodium chlorite, ambapo ukolevu wa sodium chlorite ni asilimia 27, ikiwa na asilimia 50 ya ukolevu wa tindikali ya acetic au asilimia 4 ya tindikali ya hydrochloric. Baada ya kutayarisha mchanganyiko, zinajumuishwa pamoja kwa uzani sawa, kwanza kwa kumimina matone ya sodium chlorite ndani ya kikombe kikavu na kisha huongezwa kiwango sawa cha tindikali. Myayusho hukorogwa kwa dakika moja au mbili, baada ya hapo kikombe kidogo cha maji au sharubati isiyo na antioxidants huongezwa kwenye mchanganyiko. Kisha hunywewa, kwa jina la Mwenyezi Mungu, Ambye ndiye Mponeshaji.
Kwa ajili ya kujikinga na virusi vya Korona, huweza kunywewa matone 5 hadi 10 mara moja au mbili kwa siku, kama kutakuwa na hali isiyo na kinga kwa virusi. Kama kutakuwa na hatari ndogo ya hali isiyo na kinga, hutosha kunywa wakati wa dalili za mwanzo zinapo dhihirika. Mchanganyiko kama huo huweza kutumika kwa pamoja kupangusia sehemu za aina zote kwa ajili ya kuondoshea vimelea.
Dozi tofauti hutumika kulingana na aina ya maradhi. Kwa mfano, katika suala la kansa, kiwango kidogo hutumiwa kwa masaa 8 hadi 10 kwa siku, katika kiwango cha matone 1 hadi 3 kutoka miyayusho yote miwili kila saa, ili ibakie katika damu kwa muda wa kutosha kuondokana na idadi ya kutosha ya seli za kansa. Katika maradhi haya, lazima tulenge kwenye mlo maalum wenye thamani ya viwango vya juu visivyo na sukari, ikiwemo sukari inayo ongezwa ndani ya bidhaa nyingi. Kwa kusoma zaidi kuhusu uwezo wa dawa hii na namna ya kutumika kwake, kuna mitandao mingi inayo zungumzia juu ya hili, mmoja wapo ni: https://www.mmsdrops.com/mms-protocols/protocol-1000-plus/
Pili: Dimethyl sulfoxide (DMSO)
Hii inaitwa “dawa ya miujiza” kwa sababu ya sifa yake ya kimatibabu. Ni mchanganyiko wa ki-ogani wa salfa na ulikuwa kabla ukitumika kama ni kiyeyushi cha viwandani, kabla ya kugundulika sifa zake za kitabibu mwaka 1963. Hii ina athari kubwa mno katika kutibu, kwa kupunguza maumivu pamoja na kutibu matatizo ya kuungua, chunusi, kuganda damu, kiharusi na kuteguka kwa misuli, miongoni mwa maradhi mengine mengi. Mtu anaweza kurejea katika tafiti zifuatazo kujua zaidi kuhusu faida na matumizi yake: http://www.alaalsayid.com/ebooks/DMSO_AR.pdf
Vitu hivi viwili ni mifano tu miwili ya ufisadi wa nidhamu ya matibabu ulimwenguni. Wala havitumiki sana kama ni vitu vyenye kutibu, japokuwa wabobezi na wataalam wanafahamu uwezo wake wa kutibu. Ama kwa DMSO, umaarufu wake ulipo sambaa, na watu wengi walipo kuwa wanaitumia, na kuifedhehi mamlaka ya afya ya Amerika, FDA, iliikubalia matumizi yake kama kitu cha matibabu kwa baadhi ya magonjwa madogo madogo, mwaka mmoja tu uliopita.
Vitu hivi viwili ni vyenye kutibu maradhi mengi, hali ya kuwa ni rahisi na hupatikana kwa wepesi. Hata hivyo, madaktari na taasisi za matibabu haziwezi kuziidhinisha kuwa ni vitu vya tiba, kutokana na udhibiti wa wawekezaji mabepari katika sekta ya afya. Matumizi yake yatapingana na maslahi ya sekta za madawa katika juhudi zake za kutengeneza madawa yenye madhara na yasio na faida, ili kuwatapeli fedha wagonjwa.
Watu wengi wameamka kutokana na ukweli wa ufisadi wa nidhamu ya afya ya kiulimwengu na wameamua kuelekea kwenye “dawa mbadala”. Hili ni jibu sahihi, hata kama limetokea kwa ghafla, kwa kuwa ni dawa halisi zinazo tibu maradhi na sio dalili pekee, kama zilivyo tiba za kikawaida za Wamagharibi. Kama Wamagharibi wangefuata elimu ya madaktari kutoka zama za Uislamu, kuhusiana na nadharia zake za tiba na maendeleo yake, wasinge teteleshwa na viumbe dhaifu sana vya Mwenyezi Mungu (swt), kama virusi vya Korona. Hata hivyo, Wamagharibi wamesoma vitabu vya Ibn Sina, Al-Razi, Al-Farabi na wengine wengi, lakini walichukua tu kutoka humo kile cha kuwanufaisha wawekezaji wachoyo katika sekta ya afya.
Kuna mamia ya sababu kwa wanadamu kuibuka na kuasi dhidi ya ustaarabu wa Kimagharibi na yale yanayo tokana na majaribio na sayansi ya ufisadi, ikiwemo sayansi ya matibabu. Sio hali za wanaadamu wala hali za miili yetu kuwa itatengenea kwa chochote, isipokuwa kubadilisha mfumo fisidifu, kwa kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume. Khilafah italinda raia, bila kutaka malipo yoyote wala shukrani, lakini kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu (swt). Itaitumia sayansi na teknolojia ambayo wanadamu wameipata kuhudumia raia, bila kuifanyia ukiritimba umiliki wa haki ya kitaaluma, bidhaa au dawa. Kwa ajili ya Khilafah hiyo, acha wafanye kazi wenye kufanya kazi.
Imeandikwa kwa Ajili ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb Ut Tahrir na
Bilal Al-Muhajir – Pakistan