Kamati ya Mawasiliano,Hizb ut-tahrir Kenya ikiongozwa na Ust Yasin Kiwayo wafanikiwa kuwatembelea Mudir wa Madrasa ya Al Khairat na Al Firdaus- Ust Khamis na Ust Habsh pamoja na Ust Jamal na Sh Jamal Rais katika mji wa Kilifi hivi leo 24/12/2020 Read more
Uchomaji wa Nguvu wa Maiti za Waathiriwa wa Kiislamu wa Covid-19 Nchini Sri Lanka Chini ya Utawala Ulio na Chuki na Waislamu Ambao Unalitumia Janga Hili la Maambukizi Kuzidisha Ajenda Yake Dhidi ya Uislamu Read more
Wagonjwa wanakufa, madaktari wanagoma huku viongozi waso na utu wala huruma wajitia hamnazo! Read more
Uzbekistan: Baada ya Miaka Ishirini Ndugu Ghazif Abdul Hamid Aachiliwa Huru kutoka Magereza ya Madhalimu! Read more