Serikali ya Kyrgyz kwa Kutapatapa Inajaribu Kulinda Maadili ya Kisekula Kupitia Kuwapiga Vita wale wote Wanaoeneza Fikra za Kiislam Read more
Hizb ut-Tahrir/Kenya yazindua rasmi kampeni chini ya kauli mbiu: Kila mmoja wetu ni mchungaji. Read more
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir Kenya, Mombasa Island wawatembelea wasimamizi wa uwanja wa Makadara kuwanasihi juu ya jukumu la kusimamia mali ya ummah. Read more
Katika mji wa Msambweni, wanaharakati wa hizb ut-tahrir Kenya wauhamasisha ummah juu ya jukumu la kuregesha Khilafah na kuwakumbusha juu ya kuanza mwaka mpya wa kiislamu-Hijri. Read more
Picketting iliofanyika baada ya Swala ya Juma’h masjid saada kisumu ndogo Malindi kuwakumbusha ummah juu ya tukio kubwa la kihistoria-Kugura kwa Mtume s.a.w(Hijra) Akh Amar Bakhshwein Alitoa kalimah fupi kukumbusha umma tukio la Hijra na kuingia mwaka Mpya 1442 H Read more
Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake “KOMESHA Vitisho kwa Wanawake WachaMungu wa Kiislamu wa Kyrgyzstan!” Read more