Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir nchini Kenya wagawanya toleo juu ya mkataba wa khiyana wa amani baina ya Imarati,Bahrain na Israili katika miji tofauti ikiwemo mji wa Mombasa na jiji la Nairobi.