{"id":2936,"date":"2021-11-16T17:10:24","date_gmt":"2021-11-16T17:10:24","guid":{"rendered":"https:\/\/hizb.or.ke\/sw\/?p=2936"},"modified":"2021-11-16T17:10:24","modified_gmt":"2021-11-16T17:10:24","slug":"utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/","title":{"rendered":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile"},"content":{"rendered":"<p><!--more--><\/p>\n<p><strong>Habari:<\/strong><br \/>\nWaziri wa Mambo ya Nje wa Amerika Antony Blinken ataizuru Kenya, Nigeria na Senegal kuanzia Novemba<br \/>\n15-20, akisisitiza umuhimu wa mahusiano yao na washirika wa barani Afrika. (The Star, 12\/11\/2021).<\/p>\n<p><strong>Maoni:<\/strong><br \/>\nKwa mara nyingine tena utawala wa Marekani umemtuma mwanadiplomasia wake mkuu barani Afrika<br \/>\nkibinafsi baada ya kuzuru Kenya na Nigeria kimtandao mnamo Aprili 2021. Hata hivyo, mara hii Senegal<br \/>\nimejumuishwa katika ziara. Ni muhimu kuweza kuzishughulisha akili zetu kwa kujiuliza maswali yafuatayo: 1 \u2013nini<br \/>\nkilichonyuma ya ziara hii? 2 \u2013 kwa nini kuyazuru mataifa hayo matatu maalumu? 3 \u2013 nani anatarajiwa kunufaika<br \/>\nzaidi katika ziara hii? 4 \u2013 mataifa hayo matatu na Amerika ni washirika katika nini? Maswali hayo manne yatajibika<br \/>\nkimakosa lau tutazizingatia taarifa zilizotumwa kwa ummah kupitia vyombo vikuu vya habari ambavyo hupokea<br \/>\nmalipo ili kupigia debe propaganda za serikali.<br \/>\nKwa hakika, ziara hii sio chochote bali ni kampeni ya kidiplomasia ya ukoloni mamboleo inayolenga<br \/>\nkukazanisha vitanzi katika shingo za watawala vibaraka barani Afrika, ili waendelee kujifunga na mchoro<br \/>\nunaoongozwa na mkaazi mpya wa Ikulu ya White House. Mchoro ambao unajumuisha kuyatia pingu mataifa ili<br \/>\nkushikamana na mungu aliyefeli wa demokrasia, nidhamu huria ya kijamii, nidhamu ya kiuchumi iliyojikita katika<br \/>\nriba na ukandamizaji miongoni mwa maovu mengine yanayo endelea kusababisha majanga yasiyohesabika kwa<br \/>\nwanadamu duniani kote. Kwa kuongezea, utawala wa Marekani unakwenda mbio kuzipiku hatua zilizopigwa na<br \/>\nutawala wa Uchina barani Afrika.<br \/>\nMataifa hayo matatu yanacheza dori muhimu katika maeneo yao na barani Afrika kwa ujumla. Kenya ndio<br \/>\nkituo cha uchumi wa eneo la Afrika Mashariki na Kati ikiwa haina mshindani. Nigeria ndio yenye uchumi mkubwa<br \/>\nna idadi kubwa ya watu barani Afrika. Rais wa Senegal anatarajiwa kuingia katika cheo cha juu katika uongozi wa<br \/>\nMuungano wa Afrika (AU). Fauka ya hayo, mataifa hayo matatu yamebakia kuwa watiifu kwa mabwana zao<br \/>\nwakoloni ambao ni Uingereza na Ufaransa. Kwa hiyo, Amerika inatambua umuhimu wa mataifa haya na<br \/>\nimewekeza juhudi zake ili kuzitoa kutoka kwa washindani wenza wa kikoloni.<br \/>\nUtawala wa Marekani kwa kuwa ndio wenye usemi duniani inatarajiwa kunufaika zaidi kutokana na ziara hiyo.<br \/>\nHata hivyo, mataifa watumwa yatanufaika kutokamana na makombo machache watakayopewa na bwana mkoloni.<br \/>\nAmerika itanufaika kupitia utekelezaji wa mikataba mingi itakayotiwa saini nyuma ya pazia na ambayo<br \/>\nitayafadhilisha makampuni ya Marekani pasina kuzingatia viwanda vya nchini. Na wakati huo yakitoa mwanya zaidi<br \/>\nkwa taasisi za kifedha za Marekani mfano Benki ya Dunia na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa kuendelea kufanya<br \/>\nuharibifu kwa uchumi wa mataifa yaliyosalimu amri.<br \/>\nAmerika na mataifa hayo matatu ni washirika katika kusababisha ufisadi duniani. Kilele cha kiwango cha<br \/>\nufisadi ni wao kuupiga vita Uislamu na Waislamu. Kwa pamoja wameubandikiza Uislamu kuwa ni itikadi kali na<br \/>\nWaislamu ni wenye misimamo mikali na magaidi. Hivyo basi, wameamua kuwakandamiza na kuwaua Waislamu<br \/>\nkupitia kutunga na kutekeleza sheria na sera dhidi ya ugaidi na misimamo mikali! Kwa pamoja wanaukashifu<br \/>\nUislamu na kuuona kuwa ni wa kikatili na wa kizamani usioweza kutatua changamoto za karne hizi! Alas!<br \/>\nChangamoto zilezile ambazo zimetokamana na kutekeleza mfumo batili wa kisekula wa kirasilimali na mataifa<br \/>\nyayo hayo!<br \/>\nKwa kutamatisha, ziara hii haileti matumaini wala ustawi kwa Afrika. Badala yake ni ziara nyingine inayotekelezwa<br \/>\nna sura mpya lakini zenye njama zilezile ambayo ni ziara ya kikoloni kuja kutathmini mashamba ya kikoloni<br \/>\nyanayomilikiwa na washindani wa Marekani. Lau kutapatikana fursa, basi wajaribu kuwavutia wasimamizi wa shamba la<br \/>\nkikoloni kwa vijipesa kwa jina la msaada wa kifedha miongoni mwa vivutio vingine ili kuuhamisha utiifu wao wa kikoloni.<br \/>\nLau hakuna fursa, basi angalau kutafuta japo uungwaji mkono katika kutekeleza ajenda ya Amerika iliyo na sumu ndani<br \/>\nya mataifa yao husika na ng\u2019ambo. Sehemu ya ajenda ikijumuisha kupigana vita vya kiwakala vya Amerika.<br \/>\nAfrika itaendelea kutaabika chini ya mikono ya wakoloni Wamagharibi ambao wanatawala mataifa ya Afrika kupitia<br \/>\nwatawala vibaraka wa kikoloni. Watawala waovu ambao wanaiba mali za watu binafsi na za ummah na kisha kuzituma<br \/>\nng\u2019ambo ilhali raia wamebakia wanateseka kwa umasikini wa kudumu. Kwa kuongezea, wanakula njama na yale<br \/>\nyanayojiita ni mashirika ya Magharibi ambayo hudai kuwasaidia raia; lakini yapo kwa ajili ya kulinda hali iliyoko na<br \/>\nkuwahadaa watu. Afrika imezama ndani ya dhiki. Kuchipuza kwa nidhamu mbadala ya uongozi ndio pekee itakayo<br \/>\ndhamini kuondoka shidani. Nidhamu mbadala inayochipuza kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ni Khilafah kwa njia<br \/>\nUtume. Khilafah italeta matumaini na ustawi wa kikweli sio tu kwa Afrika bali kwa dunia jumla. Itakuwa na uwezo wa<br \/>\nkuyafanya hayo kupitia utekelezaji wake wa nidhamu tofauti za Kiislamu.<\/p>\n<p>Imeandikwa kwa ajili ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir na<\/p>\n<p>Ali Nassoro Ali<\/p>\n<p>Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"Habari: Waziri wa Mambo ya Nje wa Amerika Antony Blinken ataizuru Kenya, Nigeria na Senegal kuanzia Novemba 15-20, akisisitiza umuhimu wa mahusiano yao na washirika wa barani Afrika. (The Star, 12\/11\/2021). Maoni: Kwa mara nyingine tena utawala wa Marekani umemtuma mwanadiplomasia wake mkuu barani Afrika kibinafsi baada ya kuzuru Kenya na Nigeria kimtandao mnamo Aprili [...]","protected":false},"author":2,"featured_media":2937,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[9],"tags":[],"class_list":["post-2936","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-habari-na-maoni"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v27.4 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Hizb ut Tahrir Kenya\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/OfisiyahabariHtKenya\/\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2021-11-16T17:10:24+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"1098\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"745\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"hizbk@sw\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:creator\" content=\"@HT_KENYA\" \/>\n<meta name=\"twitter:site\" content=\"@HT_KENYA\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"hizbk@sw\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"4 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"hizbk@sw\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/d2d62911aca652da5fd716ac5775d47c\"},\"headline\":\"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile\",\"datePublished\":\"2021-11-16T17:10:24+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/\"},\"wordCount\":755,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2021\\\/11\\\/Blinken.jpg\",\"articleSection\":[\"Habari na Maoni\"],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/\",\"name\":\"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2021\\\/11\\\/Blinken.jpg\",\"datePublished\":\"2021-11-16T17:10:24+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2021\\\/11\\\/Blinken.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2021\\\/11\\\/Blinken.jpg\",\"width\":1098,\"height\":745},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Hizb ut Tahrir Kenya\",\"description\":\"\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Hizb ut Tahrir Kenya\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2018\\\/05\\\/cropped-LogoHTKenya.png\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2018\\\/05\\\/cropped-LogoHTKenya.png\",\"width\":306,\"height\":70,\"caption\":\"Hizb ut Tahrir Kenya\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/OfisiyahabariHtKenya\\\/\",\"https:\\\/\\\/x.com\\\/HT_KENYA\",\"https:\\\/\\\/www.instagram.com\\\/htkenya\\\/\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/d2d62911aca652da5fd716ac5775d47c\",\"name\":\"hizbk@sw\",\"url\":\"https:\\\/\\\/hizbke.org\\\/sw\\\/author\\\/hizbksw\\\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya","og_url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/","og_site_name":"Hizb ut Tahrir Kenya","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/OfisiyahabariHtKenya\/","article_published_time":"2021-11-16T17:10:24+00:00","og_image":[{"width":1098,"height":745,"url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"hizbk@sw","twitter_card":"summary_large_image","twitter_creator":"@HT_KENYA","twitter_site":"@HT_KENYA","twitter_misc":{"Written by":"hizbk@sw","Est. reading time":"4 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/"},"author":{"name":"hizbk@sw","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#\/schema\/person\/d2d62911aca652da5fd716ac5775d47c"},"headline":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile","datePublished":"2021-11-16T17:10:24+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/"},"wordCount":755,"publisher":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg","articleSection":["Habari na Maoni"],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/","name":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile - Hizb ut Tahrir Kenya","isPartOf":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg","datePublished":"2021-11-16T17:10:24+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#primaryimage","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg","contentUrl":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2021\/11\/Blinken.jpg","width":1098,"height":745},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/utawala-wa-marekani-sura-mpya-lakini-zenye-njama-zilezile\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Utawala wa Marekani: Sura Mpya lakini zenye Njama Zilezile"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#website","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/","name":"Hizb ut Tahrir Kenya","description":"","publisher":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#organization","name":"Hizb ut Tahrir Kenya","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2018\/05\/cropped-LogoHTKenya.png","contentUrl":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-content\/uploads\/2018\/05\/cropped-LogoHTKenya.png","width":306,"height":70,"caption":"Hizb ut Tahrir Kenya"},"image":{"@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/OfisiyahabariHtKenya\/","https:\/\/x.com\/HT_KENYA","https:\/\/www.instagram.com\/htkenya\/"]},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/#\/schema\/person\/d2d62911aca652da5fd716ac5775d47c","name":"hizbk@sw","url":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/author\/hizbksw\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2936","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2936"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2936\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2938,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2936\/revisions\/2938"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/2937"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2936"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2936"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/hizbke.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2936"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}