Afisi Kuu ya Habari: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H – 2021 M
بسم الله الرحمن الرحيم
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram wa mwaka huu 1442 H – 2021 M na kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka mia moja uchungu ya wahalifu kuiangamiza Dola ya Uislamu iliyo simamishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad (saw), na kusitishwa kwa nidhamu ya utawala ya Kiislamu (Khilafah) ambayo iliangaza pembe za ulimwengu kwa kipindi cha karne 13 mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3/3/1924 M, na chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa, Ataa bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote ambazo inafanya kazi ndani yake chini ya kauli mbiu:
“Katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah… Isimamisheni Enyi Waislamu”
Na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kupitia ukurasa huu, tutazishughulikia kwa kina amali hizi, tukimwomba Mwenyezi Mungu (swt) atujaaliye kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na hilo sio zito kwa Mwenyezi, Mwenyezi Mungu (swt) asema:
((وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُمْ فِي الْأَرْضِ كَمَا اسْتَخْلَفَ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ وَلَيُمَكِّنَنَّ لَهُمْ دِينَهُمُ الَّذِي ارْتَضَىٰ لَهُمْ وَلَيُبَدِّلَنَّهُمْ مِنْ بَعْدِ خَوْفِهِمْ أَمْنًا ۚ يَعْبُدُونَنِي لَا يُشْرِكُونَ بِي شَيْئًا ۚ وَمَنْ كَفَرَ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ)).
“Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia Dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala wasinishirikishe na chochote. Na watao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu.” (An-Nur: 55)
Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M
– Ili Kufuatilia Uangaziaji Mpana kwa Lugha Nyenginezo –
Kalima ya Mhandisi Salah ad-Din Adada (Abu Muhammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah
– Alama Ishara za Amali na Uangaziaji Mpana –
#أقيموا_الخلافة | |||
#ReturnTheKhilafah | |||
#YenidenHilafet | |||
#خلافت_کو_قائم_کرو |
– Vibandiko vya Kampeni –
(Hapa vitawekwa vibandiko vya kampeni, (kila siku kitaongezwa kibandiko kimoja pekee mpaka vyote vikamilike (vibandiko 29), na vibandiko vitagawanyika katika vikundi vinne kulingana na rangi zao)
– Kongamano la Mwisho la Kiulimwengu la Amali za Kampeni –
Mwenyezi Mungu akipenda, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir itatangaza kongamano la mwisho la kiulimwengu la kampeni “Katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah … Isimamisheni, Enyi Waislamu” kupitia Televisheni ya Al-Waqiyah Jumamosi, 29 Rajab 1442 H, sawia na 13 Machi 2021 M. Basi kueni pamoja nasi mushiriki nasi katika thawabu, Mwenyezi Mungu (swt) yuko katika msaada wa mja maadamu mja yuko katika msaada wa nduguye.
– Taarifa za Vyombo vya Habari –
(Hapa zitawekwa anwani za taarifa za maeneo zinazohusiana na kampeni, na ndani yake link zake, na chini ya kila anwani itawekwa tarehe ya taarifa. Taarifa zitapangwa kulingana na tarehe zake mpya zaidi itakuwa juu kabisa)
– Makala ya Habari na Maoni –
(Hapa zitawekwa anwani za makala na maoni juu ya kampeni, na ndani yake link zake, na chini ya kila anwani itawekwa tarehe ya makala. Zitapangwa kulingana na tarehe zake mpya zaidi itakuwa juu kabisa)
– Amali za Hizb ut Tahrir Kote Ulimwenguni –
(Hapa zitawekwa anwani za amali za maeneo kote ulimwenguni zinazohusiana na kampeni, anwani ya amali na ndani yake link, na chini yake tarehe ya amali hiyo, mpya zaidi itakuwa juu kabisa)
– Video –
(Hapa zitawekwa video zinazohusiana na kampeni, mpya zaidi itakuwa juu kabisa)
– Angalizi la Vyombo vya Habari –
(Hapa zitawekwa nyezo zote za habari zinazohusiana na kampeni)
(Mwisho wa ukurasa, kutakuwa na mkusanyiko wa picha, na ndani yake kutawekwa picha za kampeni na vitu vinavyohusiana nayo)