Maoni rasmi ya Hizb ut Tahrir ni yale yanayopatikana katika kauli zilizotolewa kwa jina la afisi za maeneo (wilayaat), afisi mbalimbali za habari za Hizb ut-Tahrir na kauli za wasemaji na wawakilishi rasmi kwa vyombo vya habari wa Hizb ut-Tahrir. Kauli nyengine zozote kando na hizo hata kama zitapeperushwa/kuchapishwa katika tovuti rasmi na majarida ni maoni ya waandishi wa makala husika na sio ya Hizb ut-Tahrir. Ruhusa iko wazi kunakili, kunukuu au kuchapisha chochote kilichotolewa na Hizb ut-Tahrir au tovuti ya Hizb ut-Tahrir, kwa sharti tu nukuu au nakala ibakie katika uhalisi wake kimaana, bila ya kunukuu kijisehemu ili kupotoa maana au kuonesha maana ya uwongo kinyume na makusudio. Na kwa sharti kwamba makala hiyo inasibishwe moja kwa moja na chanzo chake.