Tufani Ya Twitter: Kampeni “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

Kufuatilia Kampeni kwa Lugha Nyenginezo

 
 
   

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

itaendesha tufani ya Twitter ambayo sasa inajulikana kama X chini ya kichwa:

“Enyi Ummah, Kilio kutoka kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”

Kuwanusuru wabebaji Dawah wanaodhulumiwa na utawala dhalimu wa Uzbekistan kwa sababu tu wanaswali mchana na usiku ili kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt), na bishara njema ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kwa kuregesha tena maisha kamili ya Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Basi kuweni pamoja nasi leo ili mushiriki katika kupata thawabu na Mwenyezi Mungu Mtukufu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Jumamosi, 21 Muharram 1446 H – 27 Julai 2024 M

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

#PleaFromUzbekistan

صرخة_من_أوزبيكستان#