Leo hii Imarat na Bahrain wanatia saini ya Mkataba kati yao na Utawala wa Kiyahudi, Uhaini Mkuu kwa Palestina Eneo la Safari ya Mtume (saw) ya Isra na Miiraj… Hata Bila ya Kumhofu Allah wala Mtume Wake wala Waumini!

بسم الله الرحمن الرحيم

(Imetafsiriwa)

Imeripoti France24 jana 14/9/2020M kua (Mashariki ya kati, Jumanne itaingia kwenye mkondo mpya, ambapo utawala wa Bahrain na Milki za Imarati zitatia saini mkataba wa makubaliano na Israel huko Washington…. na yatarajiwa kusimamiwa na Rais wa Amerika Donald Trump, katika sherehe itakayofanyika White House juu ya saini hiyo… na wajumbe wawili wa Kiarabu, wataongoza mawaziri wa mambo ya nje wa nchi mbili za Kikhaliji…) yaani, ni kwamba Imarati na Bahrain leo Jumanne huko katika mji Mkuu mweusi Washington watatia saini makubaliano ya khiyana kuu kwa mahali ilipokua Israa ya Mtume (saw) na Miiraj yake, pasi na kumuogopa Allah, Mtume wake na wala Waumini! Nao kwa kufanya hivyo, watakua wamefuata mwenendo wa mfano wao kabla yao: serikali ya Misri katika mkataba wa Camp David, PLO huko Oslo na serikali ya Jordan katika Waadi Araba!

Hakika watawala katika miji ya Waislamu, kabla ya mikataba hii na baada yake walikua wakiamiliana na serikali ya Kiyahudi. Lakini wakifanya hivyo nyuma ya pazia, huku wakichunga japo kidogo haya, bali uoga. Na ilipoondoka hicho kizibo, imekua sasa kutangaza wazi hayo makubaliano ni jambo la kifahari kwao. Wanatangaza wazi hili bila ya kuhisi unyonge au hata angalau aibu kidogo au haya! Na unyonge huu hakuna budi utawafika tu! Wakubali hilo au wakatae, huo ndio mwisho wa mhalifu yeyote katika haki ya Dini yake au Ummah wake.

سَيُصِيبُ الَّذِينَ أَجْرَمُوا صَغَارٌ عِنْدَ اللَّهِ وَعَذَابٌ شَدِيدٌ بِمَا كَانُوا يَمْكُرُونَ

Itawafikia hao walio kosa udhalili na adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo kuwa wakivifanya[Al-An’am: 124].

Kwa hakika ni moja kati ya makubwa, kutokea hili linalotokea! Ambapo mapatano yanaendelea kwa kasi hii, huku Ummah na majeshi yake wakiangalia na kusikia, bila ya majeshi ya Waislamu kutikisika na kuwapindulia dunia juu yao na kuwaondoa! Kisha na wale ambao bado hawajatia saini mikataba ya wazi hawana tofauti yoyote na waliotia saini. Kwani Oman hukaribisha na kukaribishwa na utawala wa Kiyahudi. Nayo Qatar ndio wa kati (aso na mapendeleo) kati ya Mayahudi na Ghaza! Na utawala wa Saudi katika miji ya Hijaaz, nao anga zake zi wazi kwa ndege za utawala bandia na uliokalia kimabavu Al-Qudsi tukufu ya Waislamu! Kisha nao watawala wa Uturuki, bado unautambua utawala wa Kiyahudi uliokalia kimabavu Falastin! Ama kiukweli ni moja ya makubwa kutokea hili linalotokea, kana kwamba ni jambo la kawaida kati ya ndugu wa tumbo moja! Na kana kwamba sio zaidi ya tofauti ndogo tu ya kimtazamo kuhusu mipaka!

Enyi Waislamu:

Hakika ardhi barikiwa ya Palestina, ardhi iliyokua mafikio ya safari ya Israa na Miiraj, imo ndani ya nyoyo za Waislamu. Hata kama wameonjwa kwa watawala Ruwaibidhwa (wenye akili ndogo) wanaowatii makafiri wakoloni, zaidi ya kumtii Mola wa viumbe! Hakika Palestina na Qudsi yake ni Palestina ya Waislamu wala Palestina sio ya hao watawala wasaliti, wala Qudsi si yao! Na kusawazisha mahusiano kati yao na serikali ya Kiyahudi iliyoinyakua Palestina kimabavu, wote watahitimishwa na udhalili na aibu mpaka siku yao walioahidiwa. Kwani hakika, Palestina itarudi kwa wenyewe baada ya kupigana na Mayahudi wanyakuzi wa ardhi iliobarikiwa, katika siku ambayo itakayoshuhudiwa, itakayofunikwa na sauti za takbira zitokazo kwa majeshi ya Waislamu. Na hiyo ni ahadi isiyo ya uongo, iliyosemwa na Mkweli Msadikiwa (saw) aliposema:

لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ، فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ: يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ، فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ

Mtapigana na Mayahudi na mtawaua kweli kweli, hadi jiwe liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi njoo umuue(Imepokewa na Muslim)

Enyi Waislamu:

Hakika wanajeshi katika miji ya Waislamu ni watoto wenu, ni ndugu zenu, ni watu wenu wenyewe, na miongoni mwao wapo wenye ikhlaswi. hivyo basi, waangazieni nyoyo zao kwa haki na muwasukume kwake, ili waikomboe Palestina kutoka kwa umbile la Mayahudi waovu ambao wameinyakua na kueneza humo uharibifu na ufisadi, kwa msaada wa viongozi katika ardhi za Waislamu, ambao badala ya kupigana na huo utawala wa Kiyahudi, wamekua wakichunga usalama wake! Na lau si hivyo, huo utawala haungebakia mpaka leo hii. Kwani hakika Mayahudi hua hawanusuriwi katika vita vya kikweli dhidi ya waislamu.

لَنْ يَضُرُّوكُمْ إِلَّا أَذًى وَإِنْ يُقَاتِلُوكُمْ يُوَلُّوكُمُ الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يُنْصَرُونَ

Hawatakudhuruni ila ni maudhi tu. Na wakipigana nanyi watakupeni mgongo, na tena hawatanusuriwa [Al-Baqara: 111]

Na huu ndio uhalisia wao na hivi ndivyo walivyo. Lakini badala ya kupigana nao viongozi hawa wanafanya nao muamala wa mapatano nao! Na badala ya kuwatoa katika miji yetu kama alivyosema Allah Mshindi Mwenye Hikma:

وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُمْ مِنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ

Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni” [Al-Baqara: 191]

Mara twaona hawa matwaghut wanathibitsha humo!

قَاتَلَهُمُ اللَّهُ أَنَّى يُؤْفَكُونَ

Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?

Enyi Waislamu:

Hakika mambo yalivyo, hili jambo haliwezi kutengenea ila kwa yale yaliyotengenea mwanzo wake: Nayo ni kuhukumu kwa kwa aliyoyateremsha Allah na wanajeshi watakao watikisa maadui wa Allah. Na hayo hayatokua ila kwa kurudi upya Khilafah ongofu kwa mwenendo wa Utume, ili ing’oe umbile la Kiyahudi lilochafua Palestina twahara kwa miaka zaidi ya sabini, na hapo kuirudisha Palestina ikiwa kamili katika ardhi za Kiislamu, ikiwa ni mji wa Izza katika serikali yenye Izza, ambayo ni Khilafah Iliyo kwa mwenendo wa Utume… na hilo litakuwa tu kwa idhini ya Allah. Na hili latiliwa nguvu na mambo manne yenye maana ya kukatikiwa:

Kwanza: Ni kua Ummah wa Kiislamu ni ummah bora zaidi uliotolewa kwa ajili ya watu.

كُنْتُمْ خَيْرَ أُمَّةٍ أُخْرِجَتْ لِلنَّاسِ

Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu [Al-i-Imran: 110].

Na ummah ambao hii ndio hali yake,hautavumilia unyonge. Hautoisahau Qudsi yake, haijalishi watakavyofanya matwaghut, bali utawakanyaga kwa miguu yake kisawasawa hasa.

Pili: Ahadi itoakayo kwa Allah ya kuwafanya makhalifa katika ardhi.

وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُمْ فِي الْأَرْضِ

Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao[An-Nur: 55]

Na bishara ya Mjumbe Wake (saw) aliyobashiri kurudi kwa Khilafah tena kwa mwenendo wa Utume.

ثم تكون خلافة على منهاج النبوة

“Kisha itarudi Khilafah kwa mwenendo wa Utume(Imepokewa na Ahmad)

Tatu: Hadithi ya Mkweli Msadikiwa (saw) aliposema kuhusu kupigana na Mayahudi na kuwaua:

“لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ، فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ: يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ، فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ

Mtapigana na Mayahudi na mtawaua kweli kweli, hadi jiwe liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Yahudi njoo umuue) (Imepokewa na Muslim)

Nne: Chama cha ukweli na chenye ikhlaswi kwa idhni ya Allah, kinachofanya kazi kuhakikisha ahadi ya Allah Mtukufu na bishara ya Mtume wake (saw). Chama ambacho ni kiongozi asiyewadanganya watu wake, chenye uoni na moyo, kinachowaongoza Ummah kwenye kheri ambayo itawafufua kwa Izza na ushindi na kufaulu duniani na akhera na wape habari njema waumini.

Hivyo, ummah ambao ndani yake kuna hii mihimili ya ushindi, basi kwa idhini ya Allah utasimamisha tu Khilafah yake na kukomboa Qudsi yake, na utakata mikono ya madhalimu na mabwana wao na wasaidizi wao.

وَيَوْمَئِذٍ يَفْرَحُ الْمُؤْمِنُونَ * بِنَصْرِ اللَّهِ يَنْصُرُ مَنْ يَشَاءُ وَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ

“Na siku hiyo Waumini watafurahi * Kwa nusura ya Mwenyezi Mungu humnusuru amtakaye. Naye ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu [Ar-Rum: 4-5].

27/1/1442H

15/9/2020M

Hizb-Ut-Tahrir