Wala msifanye uvivu kuwafuatia maadui kama mumepata maumivu basi wao pia watapata.Na nyinyi mnatumai kwa MwenyeziMungu yale wasiyoyatumainia

Taarifa kwa Vyombo Vya Habari

[وَلَا تَهِنُوا۟ فِي ابْتِغَاءِ الْقَوْمِ إِن تَكُونُوا۟ تَأْلَمُونَ فَإِنَّهُمْ يَأْلَمُونَ كَمَا تَأْلَمُونَ وَتَرْجُونَ مِنَ اللهِ مَا لَا يَرْجُونَ]
Wala msifanye uvivu kuwafuatia maadui kama mumepata maumivu basi wao pia watapata.Na nyinyi mnatumai kwa MwenyeziMungu yale wasiyoyatumainia

Jumamosi tarehe saba Oktoba mwaka 2023, mashujaa wa ukanda wa Gaza walivuka mistari umbo la kiyahudi.Walishambulia wale wenye nguvu wa adui na hivyo kufanya nyuso zao kuwa nyeusi. Shambulio hili dhidi ya Jeshi la Kiyahudi limekashifiwa kote duniani ikiwemo Afrika. Mashambulizi haya yaliyofanya na Wapalestina ,Kenya kwa upande wake ikachukua maamuzi thabiti ya kusimama pamoja na umbo la kizayuni. Katika taarifa yake Jumamosi, Nairobi ilishikilia kuwa inasimama pamoja na umbo la Kiyahudi na hivyo kulaani mashambulizi dhidi yake.

Hizb ut Tahrir Kenya tungependa kufafanua yafuatayo:-

Ni muhimu kwa Kenya na Afrika kutambua kuwa utawala wa Kizayuni una rekodi ndefu ya matendo ya kigaidi dhidi ya Waislamu huko Gaza.Shirika la kijasusi la Kiyahudi Mossad linashirikiana na nchi za Afrika ikiwemo Kenya katika mauaji ya Waislamu yanayotekelezwa na vyombo vya usalama kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Ni mamlaka hiyo hiyo ya Kizayuni iliyofanya ugaidi wa kutisha duniani pale ilipowaondoa Wapalestina wasio na hatia kutoka katika ardhi yao ya asili na kuteketeza kwa moto vitongoji vyao! Ingawa kitendo hiki cha kikatili hakikuwahi kuitwa kitendo cha kigaidi!

Viongozi wa Ulimwengu ambao wamejulikana na tabia ya kukashifu baadhi ya matendo huku wakiunga mkono matukio hayohayo japo umma wa Kiislamu kattu ummah wa Kiislamu watu wote duniani hautasahau kamwe vitendo vya kinyama vilivyofanywa na utawala wa Kizayuni katika Vita vya Al-Karameh (Vita vya Machafuko) mnamo 1968. Je, unyama huu haukuwa ukiukaji wa kile kinachoitwa mkataba wa amani?

Mauaji ya halaiki yafanywayo peupe pepe na umbo la Kiyahudi, Marekani na Ulaya kupitia vibaraka kamwe hayajawahi kuchemsha mioyo wala mishipa ya majeshi ya Kiislamu! Hakika tunajua kuwa wakati wa Ushindi (Nusrah) umekaribia sana In Shaa Allah. Tuna imani kwamba kitendo adhimu cha kuulingania Uislamu kama mfumo mbadala kwa mfumo wa Kirasilimali ulioshindwa ndio suluhisho pekee tena kwa majanga na maafa ulimwenguni.

Yaliyotokea katika ardhi iliyobarikiwa ya Filastin ni muono wenye mvuto wa kile kinachowasubiria maadui wa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na waumini mikononi mwa vijana wenye ari ya kikweli. Hakika hii ni siku ya ajabu ambayo imeonyesha wazi udhaifu na woga wa umbo la Kiyahudi na jeshi lake!
MwenyeziMungu SWT anasema:

لَن يَضُرُّوكُمْ إِلَّآ أَذًى ۖ وَإِن يُقَٰتِلُوكُمْ يُوَلُّوكُمُ ٱلْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يُنصَرُونَ
Hawakudhuruni hao maadui zenu (Mayahudi) ila udhia (mdogo). Na kama watapigana nanyi basi watawapa migongo kisha hawatonusuriwa.[TMQ AL-IMRAN:111]

Majeshi ya Waislamu na Watu wenye nguvu mna jukumu kubwa la kuwasaidia ndugu zenu wakaazi wa wa ardhi iliyobarikiwa. Watawala wa Kiislamu wamelaani shambulizi hili vile vile wataunga mkono mashambulizi ya jeshi la Wayahudi dhidi ya ajuza (mama zenu waliozeeka) na wazee wenu. Simameni muwaunge mkono ndugu zenu wanapobisha mlango ili waingie ndani kupitia mlangoni. ni Dola ya Khilafah ya kwa njia ya Utume ndio pekee itakayosukuma kiujasiri dhidi ya kupambana na jeshi la kiyahudi hivyo kukomesha kiburi na jeuri ya Wayahudi.

 

Shabani Mwalimu
Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Kenya