بسم الله الرحمن الرحيم
Halaqa 3: Muundo wa Harakati ya Maswahaba (ra)
Mtume (saw) mwanzo wa Da’wah akiwalingania wale ambao anahisi kwao Maandalizi ya Kuikubali hiyo Daa’wah, pasi na kuangalia umri wao, nafasi yao, jinsia yao wala asili yao.
Rasulullah (saw) alikua anawapa Thaqafa wote wanaoingia katika Uislamu juu ya hukmu za dini na kuwahifadhisha quran, na ikafikia idadi ya maswahaba (ra) kutoka kutumilizwa kwake mpaka Allah alipomuamrisha kudhihirisha Da’wah kiasi cha watu arubaini wengi wao wakiwa ni Vijana (Mashabab):
- Ally Ibn Abiy Twalib – Miaka 8
- Zubeyr Ibn Awwam – Miaka 8
- Twalha Ibn Ubaydillah – Miaka11
- Arqam Ibn Abiy Al-arqam – Miaka 12
- Abdullah Ibn Mas’ud – Miaka 14
- Saeed Ibn Zubyr – Chini ya Miaka 20
- Saa’d Ibn Abiy Waqqas – Miaka 17
- Suu’d Ibn Rabia’h – Miaka 17
- Jaa’far Ibn Abiy Twalib – Miaka 18
- Suhayb Ruumiy – Chini ya Mika 20
- Zaydu Ibn Harithah – Katika Miaka ya 20
- Uthman Ibn Affan – Katika Miaka ya 20
- Tulayb Ibn Umayr – Katika Miaka ya 20
- Khabab Ibn Aratti – Katika Miaka ya 20
- Aamir Ibn Fuhayra – Miaka 23
- Mus’ab Ibn Umayr – Miaka 24
- Miqdad Ibn Aswad – Miaka 24
- Abdullah Ibn Jahsh – Miaka 25
- Umar Ibn Khatwab – Miaka 26
- Abu Ubaydata Ibn Jaraah – Miaka 27
- Utbata Ibn Ghazawan – Miaka 27
- Abu Hudhayfata Ibn Utbah -Katika Miaka ya 30
- Bilal Ibn Rabaah – Katika Miaka ya 30
- Ayyash Ibn Rabia’h – Katika Miaka ya 30
- Aamir Ibn Rabia’h – Katika Miaka ya 30
- Nua’ym Ibn Abdillah – Katika Miaka ya 30
- Uthman Ibn Madhu’n – Miaka ya 30
- Abdullah Ibn Madh’un – Miaka 17
- Qudaamah Ibn Madh’un – Miaka 19
- Assaaibu Ibn Madh’un – Miaka ya 30
- Abu Salamata Al-makhzumiy – Miaka ya 30
- Abdul rahman Ibnu Awf – Katika miaka ya 30
- Ammar Ibn Yassir – Kati ya Miaka 30 na 40
- Abu Bakar Swidiq – Miaka 37
- Hamza Ibnu Abdul Mutwalib – Miaka 42
- Ubaydah Ibn Harith – Miaka 50
Itaendelea katika UQAB Toleo 7…In Shaa Allah.