Njia ya Mtume (saw) Kuleta Mageuzi

بسم الله الرحمن الرحيم

Halaqa 3: Muundo wa Harakati ya Maswahaba (ra)

Mtume (saw) mwanzo wa Da’wah akiwalingania wale ambao anahisi kwao Maandalizi ya Kuikubali hiyo Daa’wah, pasi na kuangalia umri wao, nafasi yao, jinsia yao wala asili yao.

Rasulullah (saw) alikua anawapa Thaqafa wote wanaoingia katika Uislamu juu ya hukmu za dini na kuwahifadhisha quran, na ikafikia idadi ya maswahaba (ra) kutoka kutumilizwa kwake mpaka Allah alipomuamrisha kudhihirisha Da’wah kiasi cha watu arubaini wengi wao wakiwa ni Vijana (Mashabab):

  1. Ally Ibn Abiy Twalib – Miaka 8
  2. Zubeyr Ibn Awwam – Miaka 8
  3. Twalha Ibn Ubaydillah – Miaka11
  4. Arqam Ibn Abiy Al-arqam – Miaka 12
  5. Abdullah Ibn Mas’ud – Miaka 14
  6. Saeed Ibn Zubyr – Chini ya Miaka 20
  7. Saa’d Ibn Abiy Waqqas – Miaka 17
  8. Suu’d Ibn Rabia’h – Miaka 17
  9. Jaa’far Ibn Abiy Twalib – Miaka 18
  10. Suhayb Ruumiy – Chini ya Mika 20
  11. Zaydu Ibn Harithah – Katika Miaka ya 20
  12. Uthman Ibn Affan – Katika Miaka ya 20
  13. Tulayb Ibn Umayr – Katika Miaka ya 20
  14. Khabab Ibn Aratti – Katika Miaka ya 20
  15. Aamir Ibn Fuhayra – Miaka 23
  16. Mus’ab Ibn Umayr  – Miaka 24
  17. Miqdad Ibn Aswad – Miaka 24
  18. Abdullah Ibn Jahsh – Miaka 25
  19. Umar Ibn Khatwab – Miaka 26
  20. Abu Ubaydata Ibn Jaraah – Miaka 27
  21. Utbata Ibn Ghazawan – Miaka 27
  22. Abu Hudhayfata Ibn Utbah -Katika Miaka ya 30
  23. Bilal Ibn Rabaah – Katika Miaka ya 30
  24. Ayyash Ibn Rabia’h – Katika Miaka ya 30
  25. Aamir Ibn Rabia’h  – Katika Miaka ya 30
  26. Nua’ym Ibn Abdillah – Katika Miaka ya 30
  27. Uthman Ibn Madhu’n – Miaka ya 30
  28. Abdullah Ibn Madh’un – Miaka 17
  29. Qudaamah Ibn Madh’un  – Miaka 19
  30. Assaaibu Ibn Madh’un – Miaka ya 30
  31. Abu Salamata Al-makhzumiy – Miaka ya 30
  32. Abdul rahman Ibnu Awf – Katika miaka ya 30
  33. Ammar Ibn Yassir – Kati ya Miaka 30  na 40
  34. Abu Bakar Swidiq – Miaka 37
  35. Hamza Ibnu Abdul Mutwalib – Miaka 42
  36. Ubaydah Ibn Harith – Miaka 50

Itaendelea katika UQAB Toleo 7…In Shaa Allah.