DVD “Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H – 2021 M”
بسم الله الرحمن الرحيم
DVD “Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H – 2021 M”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuatiliaji na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa lugha nane kwa anwani:
“Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H – 2021 M”
Iliyo tayarishwa na Idara ya Machapisho na Nyaraka katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Ili Kupakua DVD
Ili Kuzuru Ukurasa wa Kampeni ya Kiulimwengu