Epuka Fujo Kumbatia Uislamu

Warsha Msikiti Noor, Kilifi

Wanasiasa wa Hizb ut-Tahrir Kenya waliandaa Darsa Kubwa; 23 Julai, 2017 baada ya Swalatul Asr ndani ya Masjid Noor eneo la Kilifi. Kauli Mbiu ya Darsa ikiwa ni: Epuka Fujo Kumbatia Uislamu

Wazungumzaji na Mada zao:

1. Bro. Yassin Kiwayo – Mjumbe wa Majlis Wilayah Hizb ut-Tahrir Kenya

Mada: Uislamu na Amani

2. Saalim Mohammad – Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir Kenya

Mada: Fungamano Sahihi