Jawla ya Wanasiasa wa Hizb ut Tahrir Juu ya Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah Mnamo 28 Rajab 1342 H

Mnamo siku ya Jumamosi (14.4.2018) Wanaharakati wa Hizb ut-Tahrir Kenya wakiwa katika #JAULA ya kuwatembelea ndugu zao Waislamu katika mabaraza na maskani katika miji tofauti nchini kuwakumbusha kuvunjwa Kwa Dola ya #Khilafah na ufaradhi wa kuregesha tena Dola hiyo.
#ReturnTheKhilafah
#SimamisheniKhilafah