Katika kampeni inayoendelea ya kutaka misikiti ifunguliwe,Hizb ut-tahrir Kenya imefanya visimamo hapo 19/6/2020 maeneo kadhaa ndani ya mji wa Kisauni-Mombasa ikisisitiza kwamba misikiti ifunguliwe bila ya masharti na tahadhari ziwachiwe wenyewe waislamu kusimamia














Hizb ut-tahrir Kenya yatembelea afisi kadhaa za serikali ikiwemo afisi ya Chifu,MCA,Mbunge na za viongozi wa misikiti eneo la Kisauni-Mombasa, Kilifi na Lungaunga kuwasilisha barua ya ombi la kuifungua tena misikiti.
















Hizb ut-tahrir Kenya yatembelea viongozi wa misikiti eneo la Kilifi jana 6/6/2020 kuwasilisha barua ya ombi la kuifungua tena misikiti.





Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir watembelea misikiti tofauti katika vitongoji vya Vikwatani na Kajiweni tarehe 28/6/2020 kuwafikishia maimamu barua ya mwito wa kuifungua tena misikiti.






Mwakilishi kwa vyombo vya habari Hizb ut-tahrir Kenya Ustadh Shaaban Mwalimu,Ust Muhammad Khamsin, na Ustadh khamis mwinyi (Mjumbe wa Wilaya Ht-Kenya) watembelea afisi za shule ya Sheikh Khalifah katika kampeni ya kufunguliwa tena kwa misikiti.




#Reopen_the_mosques
#Fungueni_misikiti