Kwa maelekezi ya Amiri wa Hizb Ut-tahrir mwanachuoni mkubwa Ataa bin Khalil Abu Rashta, Amali ambazo zimefanywa na Hizb Ut-tahrir/ Kenya kwenye kampeni pana ya kiulimwengu kwa munasaba wa kumbukumbu ya Miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah, Rajab 1442H/2021M

“Kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah”
Yatosha.. Isimamisheni enyi Waislamu

 

Picha kutoka darsa kubwa Masjid Taqwa-Mombasa

7 March 2021(Rajab 1442H)
Kutoka Mombasa Kisauni: Jumbe za kuunga mkono harakati na kampeni ya hizb ut-Tahrir yenye kauli mbiu “Isimamisheni enyi waislamu”
Kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah (Rajab 1442)
Wanaharakati wa hizb ut-tahrir katika mji wa Mombasa waonyesha video inayohusiana na kuvunjwa kwa dola ya khilafah
28/Rajab 1442H
12/03/2021M

 

Usambazaji wa matoleo na stika za ujumbe wa kila siku juu ya Khilafah

Rajab 1442
Bayan ya Ijumaa Masjid Ahli Sunnah,Gede
Kuhimiza ummah kufanya kazi pamoja na harakati ya Hizb ut-tahrir kurudisha Khilafah
-Akh Amin Tamimi
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Kutoka Nairobi: Jumbe za kuunga mkono harakati na kampeni ya hizb ut-Tahrir yenye kauli mbiu “Isimamisheni enyi waislamu”
Kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Kutoka Kisauni:
Jumbe za kuunga mkono harakati na kampeni ya hizb ut-Tahrir yenye kauli mbiu “Isimamisheni enyi waislamu”
Kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah(Rajab 1442H)
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Kutoka Shimoni:
Jumbe za kuunga mkono harakati na kampeni ya hizb ut-Tahrir yenye kauli mbiu “Isimamisheni enyi waislamu”
Kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Khutbah ya Ijumaa Masjid Mariam, Takaungu.
Tukio la kuhuzunisha la kuvunjwa kwa Khilafah 28 Rajab 1342 H.
-Ust Mahdi Ali.
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Nirobi Kenya, eneo la Majengo, wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Riyadha, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28/Rajab 1442H
12/03/2021M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Lungalunga Kenya,Wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Al-Aqswaa, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Mombasa Kenya,Wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Qubaa, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Shimoni Kenya,Wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Omar Al-Farooq shimoni centre, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Kilifi Kenya, Eneo la Mnarani wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Taqwa, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Malindi Kenya, eneo la Gede wafanya maandamano baridi nje ya Markaz Ahli Sunnah Wal-Jamaa’h wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M
 
Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir katika Mji wa Mombasa Kenya, eneo la Kisauni wafanya maandamano baridi nje ya Masjid Bidala Mshomoroni, Wakiwakumbusha ummah juu ya tukio la kuvunjwa kwa dola ya Khilafah lililojiri katika mwezi mtukufu wa Rajab.
28 Rajab/1442H
12/03/2021 M