Maandamano Baridi Juu ya Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah Mnamo 28 Rajab 1342H

Katika Kuikumbuka 28 Rajab 1342H siku ya Kuangushwa Khilafah tumeandaa #MaandamanoBaridi yaliyofanyika Leo Ijumaa (13.04.2018) na Kuongozwa na Hizb ut-Tahrir Kenya dhidi ya Udhalimu wa Urusi juu ya Uislamu na Waislamu nje ya misikiti tofauti nchini.

#SaveJanat
#SaveGhouta
#ReturnTheKhilafah
#SimamisheniKhilafa