Ramadhan na Umoja wa Ummah

Warsha Msikiti Manzoor, Tudor (Island)

Wanasiasa wa Hizb ut-Tahrir Kenya waliandaa Darsa Kubwa; 18 Juni, 2017 baada ya Swalatul Asr ndani ya Masjid Manzoor eneo la Island.

Wazungumzaji na Mada zao:

1. Anwar Swaleh – Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir Kenya

Mada: Ramadhan na Umoja wa Ummah

2.Sheikh.Ali Mohamed Jaka – Mwakilishi katika Majlis Wilayah Hizb ut-Tahrir Kenya

Mada: Misimamo Baada ya Ramadhan