Afisi Kuu ya Habari: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H – 2022 M

بسم الله الرحمن الرحيم

 

Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H – 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi, na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika ukurasa huu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu tutaangazia kwa kina amali hizo, tukimuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na Mwenyezi Mungu ni muweza wa hilo, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema katika yale aliyoyapokea Imam Ahmad katika Musnad yake:

تكون النبوة فيكم ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون ملكًا عاضًا فيكون ما شاء الله أن يكون، ثم يرفعها إذا شاء الله أن يرفعها، ثم تكون ملكًا جبرية فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة، ثم سكت“.

“Utume utakuwepo kwenu kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo, kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, na itakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu iwepo kisha ataiondoa apendapo kuiondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kurithishana, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kutenzana nguvu, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, kisha akanyamaza.”

Ijumaa, 03 Rajab 1443 H sawia na 04 Februari 2022 M

– Ili Kufuatilia Angazo Hili Pana kwa Lugha Nyenginezo –

Ar

En

Tr

Ur

Gr

Kalima ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah

00:00
02:14

Kalima ya Dkt Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah

00:00
08:46

– Alama Ishara za Amali na Angazo Pana –

#أقيموا_الخلافة Af Facebook Afg Twetter Afg Inst
#الخلافة_101 Af Facebook Afg Twetter Afg Inst
#ReturnTheKhilafah Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

YenidenHilafet#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

TurudisheniKhilafah#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst
#خلافت_كو_قائم_كرو
Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa Khilafah

– Taarifa kwa Vyombo vya Habari –

Afisi Kuu ya Habari   Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Chazindua Kampeni ya Kimataifa: “Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake”

01 Rajab 1443 H – 02 Februari 2022 M

 

– Makala, Habari na Maoni –

 

– Amali za Hizb ut Tahrir  Kote Duniani –

 

– Video –

 

– Angazo la Vyombo vya Habari –