Khilafah ni yenye kuhifadhi Dini na Dunia

Darsa Kubwa iliyoandaliwa na Hizb Ut-Tahrir Kenya, Kwa mnasaba wa kuvunjwa kwa Dola ya #Khilafah, Kauli Mbiu “Khilafah ni yenye kuhifadhi Dini na Dunia”. Tarehe 15/4/2018 (Jumapili), Masjid Hudaa- Bamburi, Mombasa. Baada ya swala ya Asr.

Mzungumzaji wa Kwanza: Ust. Al Mahdi Ali
Mada: Kuanguka kwa Khilafah ni sababu ya matatizo ya Ummah.

Mzungumzaji wa Pili: Hussein Muhammad.
Mada: Kuzidi kwa kiza ndio kukaribia kwa Alfajiri.
#ReturnTheKhilafah
#SimamisheniKhilafah