Warsha ya Vijana wa Kiislamu

Tarehe 22/12/2018 Hizb ut Tahrir Kenya iliandaa warsha ya vijana wa Kiislamu huko Masjid Mariam – Takaungu kaunti ya Kilifi, na kuhudhuriwa na vijana kutoka kaunti tofauti tofauti nchini Kenya, na kumalizika tarehe 24/12/2018.

Kauli mbiu ya warsha hiyo ilikuwa: Mtume (SAW) Kiigizo Chema.